Yoshua 6:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Na Yoshua akawaambia wale wanaume wawili waliokuwa wameipeleleza nchi: “Ingieni katika nyumba ya yule mwanamke, yule kahaba, mkamtoe nje mwanamke huyo na wote walio wake, kama vile mlivyomwapia.”+
22 Na Yoshua akawaambia wale wanaume wawili waliokuwa wameipeleleza nchi: “Ingieni katika nyumba ya yule mwanamke, yule kahaba, mkamtoe nje mwanamke huyo na wote walio wake, kama vile mlivyomwapia.”+