Yoshua 11:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 kuanzia Mlima Halaki, unaopanda hadi Seiri, na hadi Baal-gadi+ katika Bonde la Lebanoni chini ya Mlima Hermoni,+ naye akawashinda, akawakamata, na kuwaua wafalme wote wa maeneo hayo.
17 kuanzia Mlima Halaki, unaopanda hadi Seiri, na hadi Baal-gadi+ katika Bonde la Lebanoni chini ya Mlima Hermoni,+ naye akawashinda, akawakamata, na kuwaua wafalme wote wa maeneo hayo.