Yoshua 15:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Kisha ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri, ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni, nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+
10 Kisha ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri, ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni, nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+