Yoshua 15:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Na mpaka huo ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni; nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+
10 Na mpaka huo ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni; nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+