-
1 Samweli 6:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Na wale ng’ombe wakaanza kwenda mbele moja kwa moja kwenye barabara inayoelekea Beth-shemeshi.+ Wakaenda katika ile njia kuu moja, huku wakilia wakiwa wanaenda, nao hawakugeuka kando upande wa kuume wala wa kushoto. Wakati huohuo wale wakuu wa muungano+ wa Wafilisti walikuwa wakitembea nyuma yao hadi kwenye mpaka wa Beth-shemeshi.
-