Yoshua 15:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kisha ukaendelea hadi kwenye mteremko wa kaskazini wa Ekroni,+ hadi Shikeroni, kufika kwenye Mlima Baala na kuendelea hadi Yabneeli, nao ulifikia mwisho kwenye bahari.
11 Kisha ukaendelea hadi kwenye mteremko wa kaskazini wa Ekroni,+ hadi Shikeroni, kufika kwenye Mlima Baala na kuendelea hadi Yabneeli, nao ulifikia mwisho kwenye bahari.