-
Yoshua 18:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Basi wanaume hao wakaenda, wakazunguka nchini na kuchora ramani yenye maeneo saba kulingana na majiji, wakaandika habari hizo katika kitabu. Kisha wakarudi kwa Yoshua kambini huko Shilo.
-