Yoshua 18:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Basi watu hao wakaenda, wakapita katikati ya nchi na kuandika vipimo vyake vya ramani+ ndani ya kitabu kulingana na majiji katika mafungu saba. Kisha wakamjia Yoshua kambini huko Shilo,
9 Basi watu hao wakaenda, wakapita katikati ya nchi na kuandika vipimo vyake vya ramani+ ndani ya kitabu kulingana na majiji katika mafungu saba. Kisha wakamjia Yoshua kambini huko Shilo,