-
Yoshua 19:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Na kutoka huko ukageuka na kuelekea magharibi hadi Aznoth-tabori na kwenda Hukkoki mpaka Zabuloni upande wa kusini na kupakana na Asheri upande wa magharibi na kuendelea hadi Yuda, na kufika kwenye Mto Yordani upande wa mashariki.
-