Yoshua 19:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Na mpaka huo ukarudi kuelekea magharibi hadi Aznoth-tabori na kutoka hapo ukaenda hadi Hukkoki ukafika hadi Zabuloni+ upande wa kusini, na hadi Asheri+ ulifika upande wa magharibi na hadi Yuda+ kwenye Yordani upande wa mapambazuko ya jua.
34 Na mpaka huo ukarudi kuelekea magharibi hadi Aznoth-tabori na kutoka hapo ukaenda hadi Hukkoki ukafika hadi Zabuloni+ upande wa kusini, na hadi Asheri+ ulifika upande wa magharibi na hadi Yuda+ kwenye Yordani upande wa mapambazuko ya jua.