-
Waamuzi 3:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Naye Ehudi akamkaribia alipokuwa ameketi peke yake darini katika chumba chake chenye baridi. Kisha Ehudi akasema, “Nina ujumbe wako kutoka kwa Mungu.” Kwa hiyo akasimama kutoka katika kiti chake cha ufalme.
-