-
Waamuzi 3:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Waliendelea kungoja kwa muda mrefu mpaka wakaaibika, lakini walipoona kwamba hafungui milango ya chumba cha darini, wakachukua ufunguo na kuifungua, wakamwona bwana wao ameanguka sakafuni akiwa amekufa!
-