-
Waamuzi 3:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Nao wakaendelea kungojea mpaka wakaona aibu, na, tazama! hakuna aliyeifungua milango ya kile chumba cha dari. Ndipo wakachukua ufunguo na kuifungua, na, tazama! bwana wao alikuwa ameanguka chini, naye amekufa!
-