-
Waamuzi 4:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Sisera akamwambia, “Simama kwenye mlango wa hema, na mtu yeyote akija kukuuliza kama kuna yeyote hemani, mwambie, ‘Hakuna!’”
-