-
Waamuzi 4:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Naye akamwambia tena: “Simama mlangoni pa hema, na itakuwa kwamba yeyote akija na kukuuliza na kusema, ‘Je, yupo mwanamume yeyote hapa?’ ndipo useme, ‘Hapana!’”
-