Waamuzi 4:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Lakini Yaeli mke wa Heberi akachukua kigingi cha hema na nyundo. Kisha Sisera alipokuwa amelala usingizi mzito kwa sababu ya uchovu, Yaeli akaenda kimyakimya na kukipigilia kile kigingi kichwani mwake,* nacho kikapenya mpaka udongoni, akafa.+ Waamuzi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 4:21 Mnara wa Mlinzi,8/1/2015, uku. 15
21 Lakini Yaeli mke wa Heberi akachukua kigingi cha hema na nyundo. Kisha Sisera alipokuwa amelala usingizi mzito kwa sababu ya uchovu, Yaeli akaenda kimyakimya na kukipigilia kile kigingi kichwani mwake,* nacho kikapenya mpaka udongoni, akafa.+