-
Waamuzi 8:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Akawauliza Zeba na Zalmuna, “Watu mliowaua kule Tabori walikuwaje?” Wakasema, “Walikuwa kama wewe, walikuwa kama wana wa mfalme.”
-