Waamuzi 8:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Pia akawaambia, “Ningependa kuomba jambo moja: Kila mmoja wenu anipe pete ya puani aliyochukua nyara.” (Walikuwa na pete za puani za dhahabu kwa sababu walikuwa Waishmaeli.)+
24 Pia akawaambia, “Ningependa kuomba jambo moja: Kila mmoja wenu anipe pete ya puani aliyochukua nyara.” (Walikuwa na pete za puani za dhahabu kwa sababu walikuwa Waishmaeli.)+