-
Waamuzi 9:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Basi viongozi wa Shekemu wakaweka watu wamvizie Abimeleki milimani, wakamwibia kila mtu aliyepita karibu nao. Abimeleki akaambiwa mambo hayo.
-