-
Waamuzi 9:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Basi wenye mashamba wa Shekemu wakaweka watu wamvizie juu ya vilele vya milima, nao wakawa wanamnyang’anya vitu kila mtu ambaye alipita kando yao barabarani. Baada ya muda Abimeleki akaletewa habari.
-