Waamuzi 9:38 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 38 Ndipo Zebuli akamwambia, “Umesahau ulivyojigamba ukisema, ‘Abimeleki ni nani ili tumtumikie?’+ Je, hawa si wale watu uliowadharau? Sasa nenda upigane nao.”
38 Ndipo Zebuli akamwambia, “Umesahau ulivyojigamba ukisema, ‘Abimeleki ni nani ili tumtumikie?’+ Je, hawa si wale watu uliowadharau? Sasa nenda upigane nao.”