-
Waamuzi 10:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa hiyo wakawatesa na kuwakandamiza sana Waisraeli mwaka huo—kwa miaka 18 waliwakandamiza Waisraeli wote waliokuwa ng’ambo ya Yordani katika nchi iliyokuwa ya Waamori kule Gileadi.
-