-
Waamuzi 11:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Lakini mke wa Gileadi pia akazaa wana. Wana hao walipokua, walimfukuza Yeftha na kumwambia, “Hutarithi chochote katika nyumba ya baba yetu kwa sababu wewe ni mwana wa mwanamke mwingine.”
-