-
Waamuzi 12:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Lakini Yeftha akawaambia, “Mimi na watu wangu tulikuwa na ugomvi mkubwa pamoja na Waamoni. Nikawaomba ninyi mnisaidie, lakini hamkuniokoa kutoka mikononi mwao.
-