-
Waamuzi 12:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 walimwambia, “Tafadhali sema Shibolethi.” Lakini alisema, “Sibolethi,” kwa kuwa hangeweza kutamka neno hilo kwa usahihi. Kwa hiyo walimkamata na kumuua kwenye vivuko vya Yordani. Basi Waefraimu 42,000 wakauawa wakati huo.
-