-
Waamuzi 14:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Basi akakwangua asali hiyo na kuitia mikononi mwake, akaila huku akitembea. Alipomfikia baba yake na mama yake, akawagawia ili wale. Lakini hakuwaambia kwamba aliikwangua kutoka katika mzoga wa simba.
-