9 Basi akaiparura na kuitia mkononi mwake, akaendelea kutembea, huku akila alipokuwa akitembea.+ Alipojiunga tena na baba yake na mama yake, ndipo mara moja akawapa sehemu ya asali hiyo, nao wakaanza kula. Naye hakuwaambia kwamba aliitoa asali hiyo katika ule mzoga wa simba.