Waamuzi 14:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Lakini akaendelea kumlilia siku zilizobaki za karamu hiyo ya siku saba. Hatimaye Samsoni akamtegulia kitendawili hicho katika siku ya saba, kwa sababu alimsumbua sana. Ndipo mwanamke huyo akawaambia watu wake maana ya kitendawili hicho.+
17 Lakini akaendelea kumlilia siku zilizobaki za karamu hiyo ya siku saba. Hatimaye Samsoni akamtegulia kitendawili hicho katika siku ya saba, kwa sababu alimsumbua sana. Ndipo mwanamke huyo akawaambia watu wake maana ya kitendawili hicho.+