-
Waamuzi 16:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Basi akavifunga kwa kigingi na kumwambia hivi kwa sauti kubwa: “Wafilisti wamekuja kukushambulia, Samsoni!” Basi akaamka kutoka usingizini na kung’oa kigingi hicho cha wafumaji na uzi wa mtande.
-