Waamuzi 16:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Mwishowe akamfunulia moyo wake na kumwambia, “Kichwa changu hakijawahi kamwe kuguswa na wembe, kwa kuwa mimi ni Mnadhiri wa Mungu tangu kuzaliwa.*+ Nikinyolewa, nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu kama wanadamu wengine wote.”
17 Mwishowe akamfunulia moyo wake na kumwambia, “Kichwa changu hakijawahi kamwe kuguswa na wembe, kwa kuwa mimi ni Mnadhiri wa Mungu tangu kuzaliwa.*+ Nikinyolewa, nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu kama wanadamu wengine wote.”