-
Waamuzi 16:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Samsoni akamwambia hivi mvulana aliyekuwa amemshika mkono: “Niache niguse nguzo zinazotegemeza nyumba hii, ili niziegemee.”
-