-
Waamuzi 16:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Ndipo Samsoni akamwambia yule mvulana aliyekuwa amemshika mkono: “Niruhusu niguse nguzo ambazo nyumba imesimamishwa imara juu yake, nami niziegemee.”
-