-
Ruthu 2:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Wakati wa chakula, Boazi akamwambia: “Njoo hapa, ule mkate na kuuchovya katika siki.” Basi Ruthu akaketi kando ya wavunaji. Boazi akampa nafaka zilizokaangwa, akala, akashiba, na kubakiza.
-