Ruthu 2:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Boazi akamwambia walipokuwa wakila: “Karibia hapa, ule baadhi ya mikate+ na kuchovya kipande chako katika siki.” Basi akaketi kando ya wavunaji. Boazi alikuwa akimpatia nafaka zilizochomwa+ ale. Akala, akatosheka, na tena akabakiza.
14 Boazi akamwambia walipokuwa wakila: “Karibia hapa, ule baadhi ya mikate+ na kuchovya kipande chako katika siki.” Basi akaketi kando ya wavunaji. Boazi alikuwa akimpatia nafaka zilizochomwa+ ale. Akala, akatosheka, na tena akabakiza.