-
Ruthu 3:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Basi akalala miguuni pake mpaka asubuhi, kisha akaamka kabla ya mapambazuko wakati ambapo ni vigumu kumtambua yeyote. Boazi akasema: “Isijulikane kwamba mwanamke alikuja kwenye uwanja wa kupuria.”
-