Ruthu 3:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Naye akalala miguuni pake mpaka asubuhi kisha akaamka kabla yeyote hajaweza kumtambua mwingine. Ndipo Boazi akasema: “Usiache ijulikane kwamba mwanamke alikuja kwenye uwanja wa kupuria.”+ Ruthu Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 3:14 w05 3/1 28-29 Ruthu Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 3:14 Ufahamu, kur. 829-830 The Watchtower,3/1/2005, kur. 28-29
14 Naye akalala miguuni pake mpaka asubuhi kisha akaamka kabla yeyote hajaweza kumtambua mwingine. Ndipo Boazi akasema: “Usiache ijulikane kwamba mwanamke alikuja kwenye uwanja wa kupuria.”+