-
1 Samweli 3:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Yehova akaita tena: “Samweli!” Basi Samweli akaamka na kwenda kwa Eli, akamwambia: “Nimekuja, kwa kuwa umeniita.” Lakini Eli akamwambia: “Sikukuita, mwanangu. Rudi ukalale.”
-