-
1 Samweli 3:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Yehova akaja na kusimama mahali hapo, akaita kama alivyofanya awali: “Samweli, Samweli!” Ndipo Samweli akajibu: “Sema, kwa maana mtumishi wako anasikiliza.”
-