-
1 Samweli 4:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Wafilisti waliposikia kelele hizo, wakasema: “Kwa nini kuna kelele nyingi sana katika kambi ya Waebrania?” Hatimaye wakapata habari kwamba Sanduku la Yehova lilikuwa limeletwa kambini.
-