-
1 Samweli 4:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kisha mtu huyo akamwambia Eli: “Ni mimi niliyetoka katika uwanja wa vita! Nimekimbia kutoka katika uwanja wa vita leo hii.” Basi akamuuliza: “Mwanangu, ilikuwaje?”
-