-
1 Samweli 4:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Na yule mtu akamwambia Eli: “Mimi ndiye ninayetoka katika uwanja wa mapigano, nami—nimekimbia leo kutoka katika uwanja wa mapigano.” Naye akasema: “Ni jambo gani limetendeka, mwanangu?”
-