-
1 Samweli 6:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Na idadi ya panya wa dhahabu ililingana na idadi ya majiji yote ya Wafilisti ya wale watawala watano, majiji yenye ngome na vijiji vya mashambani visivyo na kuta.
Na jiwe kubwa ambalo waliweka Sanduku la Yehova juu yake ni ushahidi mpaka leo katika shamba la Yoshua Mbeth-shemeshi.
-