Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 6:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Na wale panya wa dhahabu walilingana na hesabu ya majiji yote ya Wafilisti ya wale wakuu watano wa muungano, kuanzia jiji lenye ngome mpaka kijiji cha nchi iliyo wazi.

      Na lile jiwe kubwa ambalo juu yake waliweka sanduku la Yehova ni ushahidi mpaka leo hii katika shamba la Yoshua, Mbeth-shemeshi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki