1 Samweli 8:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Wakamwambia: “Tazama! Umezeeka, lakini wana wako hawatembei katika njia zako. Basi tuchagulie mfalme awe mwamuzi wetu kama mataifa mengine yote.”+ 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 8:5 w11 1/1 27 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 8:5 Ufahamu, Igeni, kur. 72-73 Mnara wa Mlinzi,1/1/2011, uku. 27
5 Wakamwambia: “Tazama! Umezeeka, lakini wana wako hawatembei katika njia zako. Basi tuchagulie mfalme awe mwamuzi wetu kama mataifa mengine yote.”+