-
1 Samweli 9:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Basi Sauli akamwambia hivi mtumishi wake: “Tukienda, tutampelekea nini mtu huyo? Mifuko yetu haina mikate; hatuna zawadi yoyote ya kumpelekea huyo mtu wa Mungu wa kweli. Tuna nini?”
-