1 Samweli 13:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 kikosi kingine kilikuwa kikielekea kwenye barabara ya Beth-horoni;+ na kikosi cha tatu kilikuwa kikifuata barabara inayoelekea kwenye mpaka ulio ng’ambo ya bonde la Seboimu, kuelekea nyikani.
18 kikosi kingine kilikuwa kikielekea kwenye barabara ya Beth-horoni;+ na kikosi cha tatu kilikuwa kikifuata barabara inayoelekea kwenye mpaka ulio ng’ambo ya bonde la Seboimu, kuelekea nyikani.