1 Samweli 13:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 na kile kikosi kingine kikawa kikigeukia kwenye barabara ya Beth-horoni,+ na kile kikosi cha tatu kikawa kikigeukia kwenye barabara iliyo kwenye mpaka ulio upande wa bonde la Seboimu, kuelekea nyikani.
18 na kile kikosi kingine kikawa kikigeukia kwenye barabara ya Beth-horoni,+ na kile kikosi cha tatu kikawa kikigeukia kwenye barabara iliyo kwenye mpaka ulio upande wa bonde la Seboimu, kuelekea nyikani.