1 Samweli 14:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Lakini Yonathani hakumsikia baba yake akiwaapisha watu,+ kwa hiyo akanyoosha ncha ya fimbo iliyokuwa mkononi mwake na kuichovya ndani ya sega la asali. Alipourudisha mkono wake kinywani na kuila, macho yake yakang’aa. 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 14:27 w05 3/15 22 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 14:27 The Watchtower,3/15/2005, uku. 226/1/1986, uku. 31
27 Lakini Yonathani hakumsikia baba yake akiwaapisha watu,+ kwa hiyo akanyoosha ncha ya fimbo iliyokuwa mkononi mwake na kuichovya ndani ya sega la asali. Alipourudisha mkono wake kinywani na kuila, macho yake yakang’aa.