-
1 Samweli 14:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Kisha akawaambia Waisraeli wote: “Mtakuwa upande mmoja, na mimi na mwanangu Yonathani tutakuwa upande wa pili.” Ndipo watu wakamwambia Sauli: “Fanya jambo lolote unaloona ni jema.”
-