1 Samweli 14:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Kisha akawaambia tena Israeli wote: “Ninyi mtakuwa upande mmoja, nami na Yonathani mwanangu—tutakuwa upande wa pili.” Ndipo watu wakamwambia Sauli: “Fanya yaliyo mema machoni pako.”+
40 Kisha akawaambia tena Israeli wote: “Ninyi mtakuwa upande mmoja, nami na Yonathani mwanangu—tutakuwa upande wa pili.” Ndipo watu wakamwambia Sauli: “Fanya yaliyo mema machoni pako.”+